Futa Data Yako
App ya Pande Cup haina akaunti ya mshabiki, kwa hiyo hakuna akaunti ya kufuta. Taarifa tunazohifadhi ni za usajili wa timu na maoni ya video. Jaza fomu hii kuomba zifutwe.
- Tunafuta: jina, namba ya simu, picha na maoni yako.
- Tunabakiza: matokeo ya mechi na takwimu za timu, kwa sababu ni historia ya timu zote mbili.
- Muda: tunakamilisha ndani ya siku 30.
Unaweza pia kutuandikia kupitia Sera ya Faragha.
