Pande CupNYUMBANIHABARIRATIBAWACHEZAJIPANDE CUP TVWADHAMINIKUTUHUSUTIMUTUZODUKA SAJILI TIMU
PANDE
FURSA YA UDHAMINI · 2026

USIWE
MSHAURI.
KUWA
HADITHI.

Brand kubwa hazibandiki kwenye billboard.
Zinaingia kwenye moyo wa mtaa.
Pande Cup inakupa ufikiaji wa vijana 50,000+ ambao wanazindua kizazi kipya — na tunakualika uwe sehemu ya hadithi hiyo.

HADITHI YETU

Ilianza na
neno moja.

2023 · KIOMONI, TANGA

Vijana wenye vipaji walicheza bila jukwaa, bila mfumo, bila matumaini ya kuonekana. Tuliamua kubadilisha hilo.

DARAJA LILILOANDIKWA

Uwanja uliopangwa. Jezi kamili. Waamuzi rasmi. Takwimu sahihi. Soka la vumbini lilipanda hadhi.

LEO · HARAKATI

Mama lishe, boda boda, kijana wa mtaa — kila mtu anapata Pande yake. Tunapanuka Dar es Salaam, na soko ni lako.

"

Huu sio msaada kwa vijana.
Hii ni investment kwenye
soko la kesho.

Pande Cup— Timu ya Pande Cup
#1
Grassroots League Tanzania
2+
Maeneo: Tanga & Dar
Gen Z
Hadhira Inayonunua
2023
Imara tangu Mwanzo

NGUVU YETU KWA NAMBARI

Unaunganika na hadhira inayokua kila wiki.

0+
Vijana Wanaofikiwa
0+
Timu za Mashindano
0
Maeneo Makuu
0+
Miaka ya Nguvu

KWANINI UTUPE PANDE?

Huu si udhamini wa kawaida. Hii ni ownership ya mtaa.

01

HADHIRA HALISI

Gen Z na Millennials hawatazami TV — wapo uwanjani na online. Tunakupeleka moja kwa moja kwenye mikono na macho yao.

02

BRAND DOMINANCE

Logo yako kwenye vifua vya wachezaji inasimama kwa saa 90. Hakuna skip button. Hakuna ad blocker. Uwanja tu.

03

EMOTIONAL EQUITY

Mashabiki hawasahau brand iliyowasaidia. Kuwa sehemu ya suluhisho — sio advertiser tu — ni tofauti kubwa sana.

04

UCHUMI WA MTAA

Siku ya mechi inazungushia pesa nzuri. Brand yako inaonekana wakati watu wako tayari katika hali ya furaha na kununua.

VIFURUSHI VYA UDHAMINI

Chagua kiwango chako cha
ushirikiano.

EXCLUSIVE · TITLE SPONSOR

MWAMBA WA MTAA

Jina lako linakuwa sehemu ya Pande Cup yenyewe. Hii si sponsorship — ni co-ownership ya harakati inayozaa kizazi.

Naming Rights — 'Pande Cup Powered by [Brand]'
Logo mbele ya jezi — timu zote 20+
VIP Exclusive Fainali Branding
Database ya wachezaji na mashabiki
60-Day Multi-Platform Campaign
Co-branded Content ya Season yote
MOST POPULAR
MOST POPULAR

GOLD PARTNER

Corporate Tier

Premium mileage. Logo yako kwenye kila mahali penye macho ya watu.

Logo kwenye mkono wa jezi — timu zote
Mabango 10 kuzunguka uwanja
Brand Mention kila goli likifungwa
30-Day Social Media Campaign
Dedicated Matchday Activation
COMMUNITY

SILVER PARTNER

SME & Growing Brands

Direct access kwa mashabiki uwanjani. Uza, unganisha, ukue.

Banda la kuuzia bidhaa uwanjani
Matangazo ya MC wakati wa mechi
Logo kwenye Website na Posters
Bi-weekly Social Shoutouts
MTAA

BRONZE

Local Business

Visibility ya kweli kwa biashara za karibu na mtaa.

Bango moja uwanjani
Shoutout kwenye Social Media
Jina kwenye Programme ya Mechi

TUWASILIANE

TAYARI
KUTUPA PANDE?

Fursa kama hii haijirudii. Soko linakua, hadhira inaongezeka, na nafasi za exclusive zinaisha. Ongea nasi leo.

The Root, Kiomoni · Goba Center, Dar es Salaam